YANGA inarejea uwanjani kesho Jumatano ugenini dhidi ya Prisons ya Mbeya mchezo ambao ni muhimu zaidi kwa mabingwa hao watetezi baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu dhidi ya Coastal Union wikiendi iliyopita, hata hivyo licha ya ugumu wa mchezo huo Yanga inakabiliwa na mechi saba ngumu zaidi katika kipindi cha mwezi mmoja.
Kwa mujibu wa hesabu za benchi la ufundi la Yanga, kama wakivuka tu vigingi vya mwezi huu wapinzani wao ikiwemo Simba na Azam watafute biashara nyingine ya kufanya na kupanda ndege wasahau
Sign up here with your email