MWANASIASA WA CUF AMSHUKIA VIBAYA MH RAIS. - Rhevan Media

MWANASIASA WA CUF AMSHUKIA VIBAYA MH RAIS.



Picha ya Mbunge

Nawashangaa sana wanaomsifia na kumtukuza Mugabe! Kwa lipi alilolifanya? Endeleeni kumpongeza kwa sababu anaamini Zimbabwe nzima ina "mataahira" tupu wasioweza kuongoza zaidi yake. TUNASIFIA MADIKTETA waliokatalia madarakani na wako tayari kuua ili kubakia madarakani! Mimi binafsi sina cha kujifunza kwa Mugabe! He is a dictator like many other dictators!
Previous
Next Post »