
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii iliyopo kuunganishwa na kupata mifuko 2 tu, Mmoja sekta ya Umma na mmoja sekta binafsi na sekta isiyo rasmi. Nimefurahishwa na uamuzi huu ambao nilishauri tangu mwaka 2011. Ni hatua itakayowezesha wanachama kuhudumiwa vizuri, kupunguza ushindani usio na maana yeyote na kuboresha mafao ikiwemo fao la Bima ya kukosa kazi
Sign up here with your email