MH ABDULAHMAN KINANA AWATEMBELEA VIONGOZI WA KIMILA. rhevanstudio 10:12:00 rhevanstudio Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi aliwatembelea viongozi wa kimila kabila la Hadzabe mkoani Singida kujadiliana nao maswala ya maendeleo ambayo wamekuwa wakiyapinga na kushikilia mila zao. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email