MDOMO WA MPONZA MBUNGE JANA BUNGENI. - Rhevan Media

MDOMO WA MPONZA MBUNGE JANA BUNGENI.


Mbunge wa Viti Maalumu kwa tiketi ya CHADEMA, Jesca Kishoa amepewa siku tatu na Mwenyekiti wa Bunge awasilishe ushahidi kuwa Waziri Dkt. Mwakyembe anahusika katika kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki
Mwakyembe alisema, Serikali haijawahi kutumia zaidi ya Shilingi bilioni 60 kununua mabehewa, akasema kuwa Bunge lisitumike kama kijiwe cha siasa
Previous
Next Post »